2/23/2021

DKT. NDUMBARO ATEMBELEA MAONESHO YA MAZAO YA MISITU

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro akiwa anakagua mabanda mbalimbali ya washiriki waliofika katika Kongamano la Kimataifa la Sayansi Juu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu na Nyuki kwa Maisha Endelevu na Uchumi  wa Viwanda katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City. Pia ameambatana na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mhe. Mary Masanja.

0 comments:

Post a Comment