1/19/2021

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI CHUO CHA VETA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiweka jiwe la msingi ujenzi wa Chuo cha Elimu na Ufundi Stadi(VETA) cha mkoa wa Kagera eneo la Burugo nje kidogo ya mji wa Bukoba leo Tarehe 18 Januari, 2021.

Katika hafla hiyo pia alikuwepo Balozi wa China Nchini, Mhe. Wang Ke, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Joyce Ndalichako na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika, Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi



 

    

0 comments:

Post a Comment