RAIS DKT MAGUFULI AKIWA NA ASKOFU MSAIDIZI JIMBO LA KATOLIKI LA BUKOBA MHASHAMU DKT. METHODIUS KILAINI ALIPOZURU MKOANIN KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiteta jambo na Askofu Msaidizi  wa Jimbo Katoliki la Bukoba Mhashamu
Dkt  Methodius Kilaini baada ya kufungua majengo ya Shule ya Sekondari
ya Wavulana ya Ihungo alipokuwa ziarani mkoani Kagera wiki iliyopita.
Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9
baada ya kuharibika kufuatitia tetemeko la ardhi lililotokea mjini
Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016 (PICHA NA IKULU).

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"