Wednesday, January 20, 2021

KAMATI ZA BUNGE ZAENDELEA NA VIKAO

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima akiwasilisha maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara yake katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Mwenyekiti wa Kaymati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo, Mhe. Stanslaus Nyongo  akifafanua jambo katika kikao Kamati hiyo kichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Ndg. Elieka Saanya. Kamati hiyo imepokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Medard Kalemani akiwasilisha maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara yake mbele ya Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Kamati hiyo imepokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Nishati. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Seif Gulamali akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kulia ni Katibu wa Kamati, Ndugu Felister Mgonja. Kamati hiyo imepokea maelezo kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara ya Nishati. (PICHA NA OFISI YA BUNGE
Mbunge wa Jimbo la Serengeti, Mhe.   Dkt. Amsabi Mrimi akichangia jambo kwenye kikao kilichojumuisha Kamati ya Bajeti, Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC). Kamati hizo zimepatiwa mafunzo kuhusu aina za ukaguzi unaofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa Kamati ya Bajeti, Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) katika kikao kamati hizo. Kamati hizo zimepatiwa mafunzo kuhusu aina za ukaguzi unaofanywa na ofisi yake. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Mbunge wa Jimbo la Busega, Mhe. Simon Songe akichangia jambo kwenye kikao kilichojumuisha Kamati ya Bajeti, Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) na Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC). Kamati hizo zimepatiwa mafunzo kuhusu aina za ukaguzi unaofanywa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)
 
0 comments:

Post a Comment