Sunday, January 17, 2021

JPM KUZINDUA SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA IHUNGO JANUARI 18, 2021

Hii ni taswira mbalimbali ya Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba mkoani Kagera inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020. Shule hiyo imefanyiwa ukarabati  uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea mjini Bukoba tarehe 10 Septemba, 2016.
0 comments:

Post a Comment