WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI MSTAAFU HUKO RUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameshiriki mazishi ya Mwenyekiti Mstaafu wa CCM wa Kata za Mnacho na Nandagala wilayani Ruangwa, Habibu Bakari Mchenga yaliyofanyika katika kijiji cha Namahema wilayani humo, Oktoba 21, 2020.
Comments
Post a Comment