Saturday, October 24, 2020

WATU 10 WAFA KATIKA AJALI YA BASI HUKO MKOANI KAGERA

Watu 10 wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa na kupelekwa hospitali teule ya Nyamiaga wilayani Ngara, Mkoani Kagera baada ya gari la abiria mali ya kampuni ya Emirates kuanguka likitokea Ngara kwenda Bukoba mapema leo Oktoba 24, 2020.

Mganga mfawidhi wa hospitali hiyo, David Mapunda amethibitisha kupokea miili na majeruhi hao.


 

0 comments:

Post a Comment