RAIS DKT MAGUFULI AMKABIDHI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJ ALI HASSAN MWINYI NYUMBA ALIYOJENGEWA NA SERIKALI MASAKI DAR ES SALAAM LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akimkabidhi mfano wa funguo Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan
Mwinyi na mkewe Mama Sitti Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi
nyumba hiyo ambayo serikali imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa
sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18,
2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakikata utepe wakiwa na
Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi na mkewe Mama Sitti
Mwinyi katika hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba ambayo serikali
imemjengea Mzee Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar
es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020

akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja na

Mwinyi na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Abubakar Kunenge na Vijana
wajenzi wa JKT wakati wa hafla ndogo ya kumkabidhi nyumba Mzee Mwinyi
ambayo serikali imemjengea kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini
Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 18, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John PombeMagufuli akimsikiliza Rais wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi
akishukuru baada ya kumkabidhi nyumba ambayo serikali imemjengea Mzee
Mwinyi kwa mujibu wa sheria eneo la Masaki jijini Dar es salaam leo
Jumapili Oktoba 18, 2020

Comments
Post a Comment