RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA BCHA BIDHAA ZA NGOZI (KILIMANJARO INTERNATIONAL LEATHER INDUSTRIES CO. LTD) MJINI MOSHI LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  viongozi wengine akikagua
bidhaa za. viatu baada ya kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwasili kufungua rasmi wa kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha
Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee pamoja
na viongozi wa dini wakati akielekea kufungua rasmi kiwanda cha kisasa
cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries
Company
Limited eneo la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa na viongozi wengine akifunua pazia kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  viongozi wengine akikagua
bidhaa za. viatu baada ya kufungua rasmi
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Kamishna Jenerali wa Magereza Suleiman Mzee pamoja na
viongozi wa dini wakati wakipata maelezo. ya
kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International
Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la
Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na  viongozi wengine akikagua bidhaa za. viatu baada ya kufungua rasmi kiwanda cha kisasa cha Bidhaa za Ngozi cha Kilimanjaro International Leather Industries Company Limited kabla ya kukifungua rasmi eneo la Karanga mjini Moshi leo Alhamisi Oktoba 22, 2020 (PICHA NA IKULU).

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"