LOWASSA, KINANA WAMPA TAFU JPM AKIHUTUBIA HALAIKI YA WATU JIJINI ARUSHA

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa CCM Mstaafu Ndugu Abdulrahman Kinana baada ya  kuhutubia maelfu kwa
maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kumsikiliza katika mkutano wake wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 23, 2020.

Sehemu ya maelfu kwa maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja
wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid jijini Arusha kumsikiliza mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa
Oktoba 23, 2020

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"