Thursday, October 29, 2020

DKT. MAGUFULI NA MAAM JANNET MAGUFULI WAPIGA KURA HUKO DODOMA

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt akipiga kura katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji kilichopo katika Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma  tarehe 28 Oktoba 2020. 

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa wamepanga mstari pamoja na Wapiga kura wengine katika Kituo cha Kupigia Kura cha Idara ya Maji kilichopo katika Kijiji cha Chamwino Ikulu mkoani Dodoma leo tarehe 28 Oktoba 2020.

 

0 comments:

Post a Comment