Wednesday, September 30, 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATA YA KAYANGA, WILAYANI KARAGWE, MKOA KAGERA.

 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Kayanga, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika uwanja wa Changarawe, Septemba 29, 2020. (Picha Eliud Rwechungura)

 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa akipiga magoti ya kuwaomba wananchi wa jimbo la Karagwe kupigia kura wagombea wote wa Chama Cha Mapinduzi katika Uchaguzi mkuu utakaofanyika oktoba 28, 2020, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika  uwanja wa Changarawe, Septemba 29, 2020. (Picha Eliud Rwechungura)

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa (kushoto) na Mgombea Udiwani Kata ya Kayanga, Germanus Byabusha (katikati), katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika uwanja wa Changarawe, Septemba 29, 2020. (Picha Eliud Rwechungura)

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia mamia ya wananchi wa Kata ya Kayanga, wilayani Karagwe, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika uwanja wa Changarawe, Septemba 29, 2020. (Picha Eliud Rwechungura)

0 comments:

Post a Comment