JPM AKIHUTUBIA WANANCHI ENEO LA MPUGUZI, DODOMA AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI IRINGA

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mpuguzi katika Jimbo la Dodoma mjini wakati akiwa njiani kuelekea katika mikutano ya Kampeni za CCM mkoani wa Iringa leo tarehe 28 Septemba 2020

Wananchi wa Mpuguzi mkoani Dodoma wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kusimama katika eneo hilo leo tarehe 28 Septemba 2020 wakati akielekea mkoani Iringa.

Comments

Popular posts from this blog

CV YA KOCHA MPYA WA SIMBA PABLO FRANCO MARTIN "USIPIME"